Tumezoea kwa wasanii wengi wa Bongo fleva kwa kuwajua kwa majina yao ya kisanii, wasanii wengi wamekuwa wanatumia kifupi cha majina yao halisi, ila mengine wengi wanakuwa wanatumia majina tofauti kabisa, wengi huamini kuwa wangekuwa wanatumia majina yao halisia, wasingeweza kuwa na utofauti wa ki-status hapa town kama ilivyo hivi sasa, hivyo kutengeneza majina wanayotumia kwenye sanaa ya muziki, na kupelekea mashabiki wengi wa wasanii hawa kutojua kabisa majina yao haya,.hawa ni baadhi tu ya wasanii wa bongo
Snura, Jina lake halisi ni ‘Snura Mushi’
Queen Darleen, Jina lake halisi ni ‘Mwajuma Abdul Juma’.
Jux Vuiton, Jina lake halisi ni ‘Juma Mussa Mpolopoto.’
Shetta, Jina lake halisi ni ‘Nurdin Bilali’
Izzo bizness, Jina lake halisi ni ‘Emmanuel Simwinga’.
Quick Racka, Jina lake halisi ni ‘Abbott Charles’
Shilole, Jina lake halisi ni ‘Zuwena Mohamed’.
Ommy Dimpoz , Jina lake halisi ni ‘Omary Faraji Nyembo’
Roma, Jina lake halisi ni ‘Ibrahim Mussa’.
Belle 9, Jina lake halisi ni ‘Abelnego Damian’.
The post Majina halisi ya wasanii hawa 10 wa Bongo, yatayokuacha mdomo wazi.
Post a Comment