0

Wema Sepetu ambaye ni mpenzi wa msanii Diamond Platnumz, jana usiku aliudhihirishia umati wa watu waliofika kushuhudia ugawaji wa tuzo za Kili 2014 kuwa anajisikia faraja kuwa mke mtarajiwa wa Diamond baada ya kufagia tuzo 7 kwa mkupuo

Kauli hiyo ya Wema ilionesha kuufurahisha umati huo, huku wengi wao wakishangilia kwa furaha

Tazama video hii umsikie na kumuona akizungumza hayo:-

Post a Comment

 
Top