0


Habari za kusikitisha zilizothibitishwa, zinaeleza kuwa msanii wa bongo aliyekuwa anajulikana kama Side Boy Mnyamwezi amefariki dunia jana

Side alifikwa na umauti katika hospitali ya Nyangao iliyopo katika mkoa wa Lindi.



Msanii huyo alifahamika zaidi kwa wimbo wake wa ‘Kua uyaone’ aliomshirikisha Ali Kiba.

Nyimbo nyingine alizowahi kutoa ni pamoja na ‘Hujafa Hujaumbika’ na ‘Usimdharau Usiyemjua’.


Post a Comment

 
Top