Kundi la Kenya, Elani, linaloundwa na watu watatu, Bryan Chweya, Maureen Kunga na Wambui Ngugi litatumbuiza Jumapili hii kwenye shindano la Big Brother Africa.
Kundi hilo lililotajwa pia kuwania tuzo za CHOAMVA 2014 lina album iitwayo ‘Barua Ya Dunia’ na linafanya Afrika Mashariki na kwingineko
Nyimbo zao nyingi ni za Kiswahili fasaha

Post a Comment