0

Kwenye # SerengetiFiesta jana ilikuwa ni

# shidaaaaah , Davido amekili live Kuwa Alikiba ni

sayari nyingine.

kama ulifuatilia ubishi wa hawa jamaa wawili kati

ya alikiba na diamond kwenye stage jana hakuna

haja ya kuendelea kuwapambanisha tena kwani

mpaka show kumalizika ilikuwa wazi kuwa kuwa

kuna mmoja kati yao alkuwa ni mzee wa

magumashi kati ya hao jamaa wawili,je unadhani

stage iliamua kuwa nani alikua mzee wa

magumashi??





Post a Comment

 
Top