0
Mtangazaji wa TV, Nick Cannon amevunja rekodi ya kuchukua selfies nyingi ndani ya saa moja.





Cannon, 34, ambaye ametengeneza rekodi ya dunia, amesema alichukua mafunzo ya kupiga selfies. Jaribio hilo lilikuwa ni sehemu ya promotion ya kampuni moja ya simu.



Cannon alipiga selfies 283 mfululizo katika saa moja na kuvunja rekodi iliyokuwepo ya selfies 279 katika muda huo.


Post a Comment

 
Top