OMMY DIMPOZ, VANESSA MDEE WAFUNIKA FIESTA DAR 21:23 ahmed 0 mapenzi, siasa, udaku A+ A- Print Email Msanii wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz akitumbuiza kwa staili yake kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 Dar Leaders Club. Msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee akifana yake na Ommy Dimpoz. Madansa wa Vanessa Mdee wakifanya yao usiku huu. Ommy Dimpoz akiimba juukwani wimbo wake wa Nani kama Mama.
Post a Comment