Muimbaji mahiri wa muziki wa R&B nchini Ben Pol anaamini kuwa kwa hatua ambayo Tanzania imefika, Nigeria haiwezi kuwa juu yake kimuziki tena.
Ben Pol ambaye anafanya vizuri na wimbo wake ‘Sophia’ anaamini kuwa kwa namna ambavyo Diamond amefika, ni jambo la kujivunia kwakuwa yupo sehemu ya juu kuwazidi hata wasanii wakubwa wan chi hiyo.
Msanii huyo ameandika hivyo baada ya video ya wimbo wa Diamond Platnumz, ‘Ntampata Wapi’ kukamata nafasi ya kwanza kwenye chart ya nyimbo 10 zinazofanya vizuri barani kupitia kituo cha runinga cha kimataifa cha Trace Urban.

“Kiukweli wanigeria awatuwezi kimuziki, na kuhusu nani atamfunga paka kengele, tayari Diamond ameshamfunga paka kengele,” Ben Pol ameandika kwenye mtandao wa Twitter.

Post a Comment