hii ni miongoni mwa picha ambayo imezagaa sana kwenye mitandao tofauti ya kijamii ikionyesha
kama ishara ya wadau kuwataka mastaa hao wawili wafunge ndoa, but ukweli ni kwamba hyo picha ni ya utani tu ambayo imekuwa imeandaliwa na mashabiki wa team diamond na team zarithebosslady.
Post a Comment