0




Nchini indonesia katika kijiji cha Tana Toraja, maiti huwa zinafufuliwa na Kubadilishwa nguo, zoezi hili hufanyika kila mwaka baada ya maiti kuzikwa, na wanafamilia ndio huifanya kai iyo;Mara nyingi mtu anapokufa huwa wanamzika katika sehemu aliyo zaliwa na sio aliyokufia, hivyo, kila baada ya mwaka humfukua na kumbadilisha mavazi, hii ni moja kati ya mila zao wenyewe.


Post a Comment

 
Top