Naweza nikawaita in mapacha wasio fanana wasanii hawa wa filamu hapa nchini Miss Tanzania 2006 na CEO - Endless Fame Actress Libra namzungumzia Wema Sepetu na Movie star pia ni C.E.O Of Cream Entertainment Actress na producer Aunt Ezekiel ambao wamekuwa karibu zaidi sana haswa kipidi cha ujauzito wa Aunt.
Wema Sepetu ameonekana kuwa mlezi wa ujauzito wa Aunt Ezekiel baada ya wengi kumuona yupo naye karibu sana kwanzia utambulike na wengi wamekuwa wakimwambia ni vyema na yeye akazaa maana atashangaa uzee umefika bila ya kuwa na mtoto kama alivyosema mmoja wa fan kwenye picha aliyoiweka Aunt Ezekiel instagram.
Auntyezekiel hongera sana.. ILA MWAMBIE HUYO MWENZIO NAE AJITAHID. MAANA ATAKUJA KUSHTUKA AMEZEEKA. ASIFIKIR ATABAKI HVO HVO.."
Post a Comment