huyu kijana akiwa na ufahamu kuwa television ya taifa inaonyesha hili tamasha lao kavaa SARE ZA JESHI tena full kuanzia viatu mpaka kofia.
Wamshughurike bila kujali urafiki wake na Kikwete.
Wasanii ni Mfano wa Kuiga, Sasa hawa wanafundisha nini watu wengine?
hii ni dharau
Kama wiki mbili zimepita toka jeshi letu pendwa litupige mkwara juu ya matumizi ya sare zake au zinazofanana na hizo kwa mtu ambae si askari.. Kwamba ukivaa tu basi umevunja sheria na inapaswa uadhibiwe mara moja, either mahakamani au 'wapigwe tu'.. Hilo linapewa nguvu na taarifa ya juzi kati jamaa kulazimishwa kuoga maji ya barabarani maeneo ya kariakoo baada ya mjeda mmoja kumnyaka na nguo zinazofanana na zao..
Sasa cha ajabu mbona leo katika tamasha la Fiesta mwanamziki Diamond na timu yake pamoja na Ney anayewatega, wameonekana wazi wakiwa na sare hizo tena wamezivaa hovyo hovyo wakinengua jukwaani.??? Au hiyo sheria inamgusa nani?

Wakuu naomba Jwtz watoe tamko juu ya mavazi walio vaa jana diamond na ney wamitego...
walivaa sare za jeshi tena ney Lienda mbali na kuvaa mlegezo kata K
je nguo za jeshi zinaruhiwa kuvaliwa kwenye birudani?
nawasilisha wakuu...maana miaka ya nyuma tushavuliwaga sana pensi za jeshi
nawasilisha kwa mara ya pili

Post a Comment