0

Mashabiki wa wema wameamua kuungana na kufanya kitu kimoja ambapo sasa wote wanakutana kwenye social network ya wema sepetu ambayo inaitwa teamwema.com , mtandao huo

unawakaribisha mashabiki wa wema hata wale wasiokuwa wa wema pia kwaajili ya kuufanya mtandao usonge mbele




hii itakuwa social network ya kwanza Tanzania kwa mwana dada wema sepetu atazidi kung'ara na kujulikana kimataifa kwa social network hiyo



KUJIUNGA NA MTANDAO HUO FREE BOFYA HAPA teamwema.com




Post a Comment

 
Top